MAFUTA YA UPAKO YATENDA MIUJIZA KWENYE MIFUGO YA MR.STEVEN MBUJI.
Siku ya tarehe 05/08/2014 Mr. Steven Mbuji alipokea unabii kuhusu ng’ombe zake zilizokula majani maeneo ya makaburini ambapo uchawi ulifanyika kipindi cha nyuma, na ng’ombe aliyekuwa amekula majani hayo ni ng’ombe dume.
Kutokana na ng’ombe
dume huyo kula hayo majani roho ya kipepo ilimwingia na alipokuwa akiwapanda
ng’ombe wengine alikuwa anapandikiza roho hiyo ndani mwao na kupelekea ng’ombe hao jike kutokushika mimba japokuwa
alikuwa anawapandisha na walikuwa wanaingia kwenye joto kama kawaida na
walikuwa hawaonyeshi dalili zozote za kuwa na mimba kitu ambacho kilikuwa
kinamshangaza Mr. Steven Mbuji.
siku ya kwanza Mr. Steven Mbuji alopokuwa anapokea unabii wake.
siku ya kwanza Mr. Steven Mbuji alopokuwa anapokea unabii wake.
Mr Steven Mbuji aliendelea kupokea unabii kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Nabii Frank Julius Kilawah kuwa kati ya ng’ombe wako kuna mmoja mwenye jicho bovu, ambapo alikiri kuwa ni kweli anang’ombe mmoja ambaye jicho lake ni bovu, kilichompelekea Mr Steven kupokea unabii kwa imani yote, baada ya hapo aliombewa na kupewa mafuta ya upako ambayo aliambiwa akawapake ng'ombe wake na baada ya hapo watatoa uchafu kisha watakuwa wamefunguliwa kabisa.
Mr. Steven akionyesha mafuta ya upako aliyowapaka ng'ombe zake.
Mnamo majira ya saa 10 jioni Mr Steven Mbuji alipiga simu kwenye ofisi ya Shiloh Media na kuelezea kuwa baada ya kutumia mafuta ya upako aliyopewa na Nabii Frank Kilawah na kufanya kama alivyoelekezwa hatimaye ng’ombe wake mmoja leo tarehe 07/08/2014 ameweza kuzaa ndama ambaye hajakamilika mwenye miezi saba ambapo siku 18 zilizopita alikuwa amempandisha. Kitu ambacho kilikuwa cha ajabu na kilimshangaza sana, kitaalum ni kitu ambacho hakiwezekani lakini kupitia mafuta ya upako nguvu ya Mungu iliweza kujidhihirisha juu ya ng’ombe huyo.
huyu ndiye ng'ombe aliyepakwa mafuta na baada ya kupakwa mafuta ndio akazaa ndama huyu.

huyu ndiye ndama aliyezaliwa baada ya kupakwa mafuta ya upako.
Sanjari ya hayo waandishi wa habari kutoka ofisi ya Shiloh media baada ya kupokea habari hiyo waliweza kufika eneo la tukio, na kuthibitisha unabii huo kuwa ni kweli ng’ombe huyo amezaa ndama dume na amefariki.

Tunaamini kuwa ni mwanzo
wa kufunguliwa kwa mifugo yake yote kwasababu
mimba ile ilikuwa haionekani lakini baada tu ya kutumia mafuta ya upako
aliweza kuzaa mimba ya muujiza.
Tunamshukuru Mungu kwa muujiza huu mkubwa kwa Mr Steven Mbuji kupitia mtumishi wa Mungu Nabii Frank Julius Kilawah.
Tunamshukuru Mungu kwa muujiza huu mkubwa kwa Mr Steven Mbuji kupitia mtumishi wa Mungu Nabii Frank Julius Kilawah.
Hakika hakuna jambo gumu
la kumshinda Bwana anayetenda miuijiza kwa wanadamu na hata wanyama .
KWA IMANI YOTE YANAWEZEKANA.
No comments:
Post a Comment