SHILOH INTERNATIONAL MINISTRIES TANZANIA

Wednesday, July 2, 2014



Shiloh ni huduma ya kinabii iliyoko nchini Tanzania katika mkoa wa Tanga inayosimamiwa na mtumishi wa Mungu  Nabii Frank Julius Kilawah ambaye ni mwana wa Nabii Shepherd Bushiri wa nchini Malawi.
-Shiloh ni huduma iliyoanzishwa mwaka 2012 tarehe 11 mwezi  wa 11 chini ya mtumishi wa Mungu nabii Frank Julius Kilawah eneo la Mikanjuni kabla ya kuhamia  katika ukumbi wa Majestic mahali ilipo kwa sasa.
-Nabii Frank Julius Kilawah ni mtumishi wa Mungu aliyetokea mkoa wa Iringa akiwa na wito wa Ki-Tume na Ki- Nabii ndani yake.Alikuja katika mkoa wa Tanga ikiwa ni wito aliopewa na Mungu kwa ajili ya kuanzisha huduma hii katika mkoa huu. 

                                              Pichani ni Nabii Frank  Julius Kilawah.
-Shiloh ni huduma inayojishughulisha na maisha ya watu ki-roho na ki-mwili.Tunaposema ki-roho tunamaanisha kuwa,tunafundisha mafundisho ya biblia,maombi na maombezi,uponyaji unaotumia nguvu za Mungu,unabii pia mafundisho ya jinsi kukua katika wokovu.Ki-mwili,ni huduma inayojishughulisha na kuhudumia watoto yatima,wajane na watu wanaoishi katika mazingira magumu kama watoto wa mitaani na wazee.

Kupitia huduma hii watu wengi wameona mabadiliko makubwa ya ki-roho na ki-mwili,watu wengi wamekuwa wakitolewa unabii,wakipokea uponyaji na matendo mengine makubwa ya Ki-Mungu.Nabii Frank Julius Kilawah amekuwa akitumiwa na Mungu kwa namna ya ajabu sana,matendo makubwa ya Mungu yamedhihilika kupitia yeye,watu wengi wamekuwa wakitoa shuhuda ya nini kimetokea baada ya kuombewa na nabii Frank Julius Kilawah.

                   Mlango wa kuingilia katika ukumbi Majestic(SHILOH)
 
-Huduma ya  Shiloh imekuwa Baraka kubwa kwa watu wa mkoa wa Tanga na nchini nzima kwa ujumla na kufanya watu wa mkoa huu wamtukuze Mungu aliye hai,Pia na kusababisha watu  mataifa mengine kuja kumwabudu Mungu aliye hai mahali hapa.


Pichani,watu kutoka bara la Ulaya wakiwa ibadani.                                                                                                                                                                                      
-Kupitia huduma hii,shuhuda nyingi zimetolewa na  watu wakishuhudia matendo makubwa Mungu aliyowatendea.Unabii ambao umekuwa ukitolewa na Nabii Frank Julius Kilawah amefanyika msaada mkubwa katikati ya maisha ya watu walio wengi.Mungu amekuwa akimtumia nabii Frank kwa ajili ya uponyaji wa watu na watu wametoa shuhuda nyingi sana.
SOMA SHUHUDA HIZI.
1)Namshukuru Mungu  kwa kuniponya.Ni wiki moja sasa imepita tangu Nabii Frank Julius Kilawah aliponiombea juu ya ugonjwa uliokuwa ukinisumbua kwa mda mrefu.Nilikuwa nikisumbuliwa na VVU,midomo kubabuka,vidonda sehemu za siri vilivyokuwa vikinisababisha kushindwa hata kutembea na kupata maumivu makali sana wakati nikienda maliwato.Lakini kwa sasa nimepona ni mzima kabisa.
KABLA YA MAOMBEZI
BAADA YA MAOMBEZI

2)Nilikuwa ninasumbuliwa na  ugonjwa wa Ukosefu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) lakini baada ya  kukutana na mtumishi wa Mungu nabii Frank Julius Kilawah na kuniombea nimepona kabisa ugonjwa huo.
Mama akiwa hospitali kupima VVU baada ya kuombewa na nabii Frank.
Ibada za hapa SHILOH pia zimekuwa zikihudhuliwa na viongizi mbalimbali wa serikali,wakiwemo wakuu wa wilaya na mikoa na idara nyingine kama TRA,maafisa wa jeshi la polisi na magereza.
Mheshimiwa mkuu wa Wilaya,Dc K.amote akiwa ibadani
-Tunamshukuru Mungu kwa hapa tulipo,kwani ni mwaka mmoja sasa tangu tumeanza huduma hii hapa mkoa waTanga ila imekuwa ni huduma ya mafanikio sana.Tulipoanza mwaka jana tulikuwa watu watatu hadi watano katika ibada,ila sasa Mungu amekuwa akiongeza watu katika ibada siku hadi siku.Tulianza tukiwa tunakaa chini ila tunamshukuru Mungu kwa kuwa hatukai chini tena.
Watu wakiwa ibadani kipindi tunaanza huduma.
Siku chache baadae.
Mapema mwaka huu.
-Kulingana na jinsi huduma ya SHILOH inavyozidi kukuwa napenda kutumia nafasi hii kukualika na wewe  katika ibada  za hapa SHILOH zinazofanyika kwa siku tofauti tofauti  kila siku.Karibu sana Mungu atasema na wewe kupitia mtumishi wake nabii Frank Julius Kilawah.
SIKU ZA IBADA.
Ijumaa;-Miujiza,Uponyaji na Mafundisho
Muda;-Saa 9:30-1:00 Usiku

Jumamosi;-Urejesho wanafsi,Mafundisho na Maombezi
Muda;-Saa 9:00-1:00 Usiku

Jumapili;-Asubuhi
Muda;-Saa 3:00-4:00 Maombi ya Kujijenga
             Saa 4:00-5:00 Sifa na Kuabudu
             Saa 5:00-6:00 Shuhuda
             Saa 6:00-9:00 Maombezi na Baraka kutoka kwa Nabii

Jumatatu;-Maombi Maalum(Special Service)
Muda;-Saa 9:30-1:00 Usiku

MAWASILIANO
Simu;0768 828 181
           0653 992 274
Face book;Prophert Frank Julius Kilawah
Face book page; Shiloh International Ministry Tanzania
Email;shilohministrytanga@gmail.com

MATUKIO KATIKA PICHA.
NABII FRANK JULIUS KILAWAH
TIMU YA KUSIFU NA KUABUDU YA SHILOH TANGA
WATU WAKIFATILIA MAHUBIRI YA NABII FRANK
NABII FRANK AKIFANYA MAOMBEZI YA UPONYAJI WA MACHO
MAMA AKITOA USHUHUDA WA JINSI ALIVYOPONA MACHO BAADA YA KUOMBEWA NA NABII FRANK
NABII FRANK AKUHUBIRI NENO LA MUNGU
MCHUNGAJI JOSEPH KAMATULA AKIFATILIA MAHUBIRI YA NABII FRANK
 TIMU YA KUSIFU NA KUABUDU IKIMWABUDU MUNGU
MCHUNGAJI KAMATULA AKIMWABUDU MUNGU
NABII FRANK JULIUS KILAWAH AKITOA UNABII
MCHUNGAJI DOMINICK KUSHOTO NA MCHUNGAJI KAMATULA KULIA WAKIFUATILIA MAHUBIRI YA NABII FRANK JULIUS KILAWAH KWA UKARIBU
SHILOH MINISTRY TUNASEMA
‘’KATIKA KILA JAMBO MUNGU ANAKITU CHA KUSEMA’’

1 comment:

Unknown said...

At this point, I pray that the lord will cover you and what God has put into your heart, in Jesus name..

You know when you grab more souls from satanic territories, the enemy tends to avenge. Fear not for the caller and the anointer is always with you.

Be strong and determinant in his power.

Apostle Kuhanda J.N