Nabii Frank Julius Kilawa akishuka kwenye ndege na kukanyaga kwa mara ya kwanza ardhi ya Kigoma.
Nabii Frank Julius Kilawah akisalimiana na watu wa itifaki waliokuja kumpokea.Muandishi wa habari kutoka Shiloh Media akiwahoji watu kuhusu ujio wa Mtumishi wa Mungu |
Nabii Frank Julius Kilawah akiwapungia kwa furaha wakazi wa Kigoma waliojitokeza kumlaki katika uwanja wa ndege.
Msafara wa wakazi wa Kigoma waliojitokeza kumzindikiza Mtumishi wa Mungu Nabii Frank Julius Kilawah.
Karibu Mtumishi wa Mungu Kigoma.
Waandishi wa habari wakimuhoji Nabii Frank Julius Kilawah.
Wakazi wa Kigoma wakicheza nyimbo maalum ya kumkaribisha Nabii Frank Julius Kilawah |
Furaha na Nderemo karibu mtumishi wa Mungu. Nabii Frank Julius Kilawah akielekea kwenda kuwazungumza na wakazi wa Kigoma. |
|
1 comment:
Mungu azidi kmbariki babayngu wa kiroho
Post a Comment