SHILOH INTERNATIONAL MINISTRIES TANZANIA

Monday, April 28, 2014





TESTIMONY

THE CONTINOUS MENTRUATION PERIOD RESTORED

Elizabeth George from SahareTanga, has come to testify to the church what the Lord has done to her life,
Miss Elizabeth was suffering from a non stopping menstruation period for over four months,
according to Miss Elizabeth’s explanations that she moved from one hospital to another looking for solution of her problem and was given a lot of capsules to take but to no avail. She then decided to use the herbal medicine but without a solution.
Due to the continuous bleeding, Miss Elizabeth went back to Madundo Hospital where she was recommended an operation but she ignored it and she said to herself,” if it’s death late it be” that was her word , showing that she had given up about her life.
Later she started visiting different churches for healing including the prayers that were offered through the media of radio and television; she would get well for two days but then the condition return as before.
Miss Elizabeth explains that she had different testimonies from different people about the Shiloh International Ministry Tanga, she had to make a step and visit the Church in believing that she would receive her healing and deliverance.
It was the prayer of disconnecting the clan from ancestral spirit where the man of God, Prophet Frank Julius Kilawah told the congregants to hold their umbilical cord with their right hand, where by Miss Elizabeth felt a Burning sensation moving within her stomach and suddenly she fell on the floor and from that day the non stopping menstruation period stopped.
 
GLORY IS TO GOD WHO MAKES THE IMPOSSIBLES TO BE POSSIBLE.

Sunday, April 27, 2014

MUNGU ANATUMIA KITU CHOCHOTE KUDHIHIRISHA NGUVU ZAKE.

MUNGU ANATUMIA KITU CHOCHOTE KUDHIHIRISHA NGUVU ZAKE.

Mnamo tarehe 17/04/2014 Bwana Michael alifika katika kanisa la Shiloh International Ministry Tanga kwa ajili ya kuombewa, na alipata neema ya kuonana na Nabii Frank Julius Kilawah akiwa katika ibada iliyokuwa inaendelea siku hiyo.
Nabii Frank Julius Kilawah aliweza kumpatia unabii juu ya afya yake Bwana Michael, Aliyekuwa akisumbuliwa na matatizo ya upasuaji ya kibofu cha mkojo ambacho kidonda chake kilikuwa hakija pona kwa ndani na kilichokuwa kinaendelea mpaka kwenye utumbo wa haja kubwa na kumpelekea  maumivu makali.
Unabii huu ulithibitishwa na Bwana Michael kuwa nikweli alifanyiwa upasuaji wa kibofu cha mkojo.
Baada ya unabii kutoka kwa  Mtumishi wa Mungu,kiganja chake cha mkono kilibadilika  na kuwa chekundu kabla hajauweka kifuani mwa Bwana Michael, hii ilidhihirisha kuwa nguvu za Mungu tayari zilishuka kwaajili ya uponyaji. Na baada ya kuwekewa mkonokifuani mwa Bwana Michael mkono wa mtumishi uligeuka  na kuwa katika hali yake ya kawaida.
Siku ya juma nne tarehe 22/04/2014 Bwana Michael alifika kanisani na kushuhudia juu ya matendo makubwa Mungu aliyo mtendea kupitia Mtumishi wake Nabii Frank Julius Kilawah.
Na huu ndio udhibitisho alioutoa Bwana Micheal kwa Mtumishi wa Mungu mbele ya waumini wa kanisa la Shiloh.
Nabii Frank . Unaendeleaje mzee na kuumwa?   
Bwana Michael , Naendelea vizuri baba,  Mungu ananibariki.
 Nabii .Nakuona hata afya yako ipo vizuri sasa,
 Bwana Michael. Ndio najisikia vizuri . Ila nina jeraha tu sasa hivi, kwasababu baada ya maombi  siku ileile nilipofika nyumbani ile sehemu yenye mshono paliota  jipu, na baada ya siku tatu lilipasuka.
Nabii Frank, sawa sasa kidonda kimesha pona?
Bwana Michael, akathibitisha kuwa kidonda kimepona.

TUNA MTUMIKIA MUNGU ALIYE HAI HAPA SHILOH INTERNATIONAL MINISTRY
KWA KUPITIA MTUMISHI WAKE NABII FRANK JULIUS KILAWAH.

KABLA YA MAOMBEZI



BAADA YA MAOMBEZI 















Wednesday, April 23, 2014

MAOMBI YA CHUMVI YA KUVUNJA LAANA NA MAAGANO YA UKOO,

JUMAMOSI
21TH APRIL 2014
SOMO:  MAOMBI YA CHUMVI YA KUVUNJA LAANA NA MAAGANO YA UKOO,
                                  NA NABII FRANK JULIUS KILAWAH.
Jinsi ya kuvunja Roho za laana na  maagano  kwenye ukoo wenu,maana watu wengi wameshindwa kufikia malengo na  hata  kukata tamaa kwa sababu ya maagano na laana za kabila zao,leo hii Mungu anakwenda kukuvusha , chumvi uliyoishika enaenda kukugeuza na kuangalia familia yako wapi imetoka na wapi inaelekea.

Habari ya ukoo ni sawa na lugha ya kabila bali siyo lugha ya Taifa, Mungu hakuumba msomi  aliumba kabila ndio maana hata baadhi ya mapepo hayawezi kutoka mpaka ya sikie lugha ya kabila la kwenu.usiangalie wapi umetoka  maana Mungu wetu hahukumu  umefanya dhambi ngapi, bali wewe upo kwenye nafasi gani?
UFUNUO WA YOHANA 7:1 ‘’Baada ya hayo nikaona malaika wanne wamesimama katika pembe nne za nchi, wakizizuia pepo nne za nchi, upepo usivume juu ya nchi, wala juu ya bahari, wala juu ya mti wowote.’’
 Maandiko yanasema Malaika walisimama pande nne wakizuia upepo usivume kwa ajili ya makabila kumi na mbili na kila pembe alisimama malaika mmoja.
kwa hiyo uwe na uhakika  kwenye ukoo wa kwenu, hiyo nafasi ambayo alitakiwa asimame Malaika lakini sasa yamesimama mapepo ambayo yamezuia pande nne za ukoo wenu kusitokee upenyo wa maendeleo ya fedha na uchumi.
Kwa maana nyingine kusimamishwa kwa ukoo wa kwenu halafu tunashuhudia mnazika watu kuanzi miaka themanini na kuendelea na naghafla mkaanza kuzika kuzika chini ya kiwango  hicho mjue kuna Roho nyingine zimewaingilia kati na zinauwa mmoja baada ya mwingine, na hata wale walioendelea bado hawajakufa kiroho lakini fedha zao zinaendelea kutumika na wale wanaendelea kifedha na watoto wao wamekufa, jua kuna matatizo  kwenye familia nzima na unajaribu kutoa sadaka , kwenda kwenye maombi lakini tatizo bado linaendelea.
Mwanangu maombi ya siku moja hayawezi kubadilisha jahazi lililokuwa limezama, lazima ujipange sawasawa na kanuni ya Bwana inayosema natafuta mtu atakaekuwa mlango wa mimi  kupita ili nipige na nisizuru ukoo iliyo baki nyuma.
Tunapo ongelea pepo  haimaanishi ukoo wenu umefungwa bali kuna roho ambayo ni mlango unaokaribisha mapepo,maana kama roho ya Yuda ilijiunganisha na shina la Daudi na shina la Daudi likajiunganisha na Yesu, Uwenauhakika roho ya nyumbani kwenu itajiunganisha na mapepo.
Lazima ujipange sawasawa, na uanze kuona ukoo wenu kwa mapana kuliko unavyouona sasa,hii  huwezi kuona kwa maono wala kwa maombi bali mpaka  kwanza umeenda kwenye chuo ninacho kufundisha mimi Baba yako Nabii Frank Julius Kilawah  sasa ndio ujue nini ndani yake kimetokea.
UFUNUO 7,9,10 “Baada ya hayo nikaona, na tazama, mkutano mkubwa sana ambao hapana mtu awezaye kuuhesabu, watu wa kila Taifa, na kabila,na jamaa na lugha wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele za mwana –kondoo,wamevikwa mavazi meupe,wana matawi ya mitende mikononi mwao. wakilia kwa sauti wakisema Wokovu una Mungu wetu aketiye katika keti cha enzi, na mwana kondoo.’’
Mungu anayasikia maombi yako usifikili  wingi wa dhambi zako,maandiko yana sema, Adamu pamoja nakufanya dhambi lakini alimsikia Mungu alipo mwita Adamu uko wapi?, Mungu hajishuhulishi na dhambi ulizo fanya bali atakuuliza nafasi yako ipo wapi? aliyokuweka kama Habakuki , maana atasimama katika zamu yake na atamuona Bwana atakacho mjibu.
UFUNUO 5:2 “Nikaona  malaika mwenye nguvu akihubiri kwa sauti kuu,Ni nani astahiliye kukifungua kitabu, na kuzivunja muhuri zake? Wala hapakuwa na mtu mbinguni, wala juu ya nchi,wala chini ya nchi, aliyeweza kukifungua hicho kitabu,wala kukitazama.’’
 Maandiko ya natuambia kisha nikamuona katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma,kimetiwa muhuri saba.

Tuesday, April 22, 2014

JINSI KIBALI KINAVYOWEZA KUKUINUA KATIKA MAISHA YAKO

  19/04/2014
SOMO:  KIBALI  (JINSI  YA KUKUBALIKA MBELE  ZA  WATU)

Na: Nabii Frank Julius Kilawah

Kibali  kimegawanyika katika sehemu kuu mbili, ya kwanza ni kukubalika kwa mtu ambaye hakupatii  faida ila wewe ndiye unamfaidisha, sehemu ya pili ni kukubalika pande zote mbili,hata kama  huna vigezo vya kukubalika katika eneo hilo.
Ukipata kibali kwa mtu ambaye unamfaidisha yeye binafsi hiyo ni sawa na bure,lakini Mungu akikupatia kibali unakwenda kukubalika katika maeneo ambayo katika hali ya kawaida  huna sifa ya kukubalika.
Kwa mfano; mtu anaweza kupata nafasi ya kufanya kazi Ikulu akiwa na kiwango cha chini kabisa cha elimu, katika kitengo ambacho kilipaswa kisimamiwe na mtu mwenye kiwango cha juu cha elimu lakini kutokana na kibali anapata nafasi hiyo.
Tukimwangalia Yusuph ambaye alikuwa mchunga kondoo,Mungu alimpatia kibali cha kuwa Waziri mkuu katika ile nchi ya Misri. kama ambavyo maandiko matakatifu yanavyosema katika kitabu cha, MWANZO 41:41” Farao akamwambia Yusufu, Tazama,nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.”
Watu wengi hulinda kibali cha mtu na Bibilia inasema alaaniwe mtu Yule amtegemeaye mwanadamu ,Mimi Baba yako Nabii  Frank Julius Kilawah natumia kibali cha macho ya Mungu,kuwa makini na ujichunguze ni aina gani ya kibali ulicho nacho.
Wanangu Mungu awapatie kibali kila mmoja cha kuondoa  roho ya umasikini,leo unakwenda kupokea muujiza na kupata majibu ya maombia yako kwa haraka,maana tunaongea na Mungu anaye jibu .maandiko yanasema mwenye kibali huwa na maamuzi, kama vileYusufu .
UTOKA 1:8,9 ,10 “Basi akainuka mfalme  mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusuph, akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israel ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. Haya, Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikatokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.”

Roho ya mungu iwe juu yenu leo wanangu naenda kuvunja kibali cha Farao nakupatia kibali cha Mungu alie  hai,katika kitabu cha KUTOKA 3:11,12  “Musa akamwambia Mungu,Mimi ni nani, hata niende kwa Farao, nikawatoe  wana wa Israeli watoke Misri?. Akasema, bila shaka mimi nitakuwa pamoja nawe; na dalili ya kuwa nimekutuma ndiyo hii; utakapo kuwa umekwisha kuwatoa hao watu katika Misri, mtamwabudu Mungu katika mlima huu.’’

Monday, April 21, 2014

    A PROPHECY
      THE IMMEDIATELY CONFIRMATION OF THE PROPHECY
On 17th /04/2014 during the Thursday service the man of God Prophet Frank prophesied for the couple who visited the Shiloh International Ministry for the first time.
‘’Brother, carrying the baby,’’
What’s your name?
He answered, Christopher Omary.
Prophet…the spirit of the Lord is taking me up to Dar-es –salaam
Christopher Omary, confirmed to be true, yes were are coming from Dar-es –salaam.
I ‘am seeing two things, I’ am seeing something like across but this is a road junction,
Prophecy continues:-God is telling me to help this young man because people have defamed him and also they have limited his plans in progress.
Prophet … I am seeing a church somewhere, have ever worked in the Church?
Mr. Christopher confirmed yes I have ever worked in the church.
I’ am seeing someone by the names of Mr. Mbuna and Mr. Mwaisaka
Mr. Christopher confirmed, Yes I know them.
Prophet, What I see, I am seeing two people, one of them is brown and they are Sambas by tribal, the brown one is from Gongo la mboto Dar-es –salaam and both of them are Ushers in the Church and also are the leaders of prayers in the Church but they intrigued against Mr. Christopher.
                There is a person who died 9 years back; he was a security by the name of Willy, The spirit of the Lord is taking me up to Kimara Dar-es –salaam near the Lutheran Church, where the diseased was living, the diseased experienced a mysterious life and did not own anything, they only took a coffin back to the village and is the same spirit driving you now.
                 Mr. Christopher confirmed the prophecy to be true due to the mysterious life that they are facing with the facial of sympathy and while the woman remained gazing at the man of God, Prophet Frank Julius Kilawah to now the deep things of their lives.
He further explains that:-
The one you prophesied that brown and short is my father in the Lord, we went together to Iringa to Open the Church and I’ am the one who was the founder of the Church and I was anointed to lead the Church while for him was the usher in the Church but due to intrigued made over me, he took over the church.
         The prophecy continued:- There is breakthrough ahead of you, there are nine people who will look for you and because they do not know where your, the spirit of the Lord will take you to them.
“Brother ,Worry out,’’ your breakthrough has started today!
       The man of God felt sympathy on the couple and called them forward, “As long as you are putting the over sized shirt let me give you my clothes.
Prophet Frank lashed into his dressing room and came out with a heap of clothes and handed them to Mr. Christopher and his wife.
In Matthew 25:40
                  Truly I say to you, as you did it into one of the least of these my brethren, you did it to me.

The giving did not stop there the whole congregation was touched with the mysterious circumstances that the couple was facing, truly when you give you receive, they came out with different types gifts including, Five Shirts, Five trousers, A T. shirt, Vest, Two pair of shoes, One Bed sheet, Four pairs of African wear for women (vitenge) and the Sum of 204000/= Tanzanian shillings.
In this miraculous turn of events of Mr. and Mrs. Christopher made them to cry and wondering God who brought them to Shiloh International Ministry and received unexpected breakthrough in their lives.
IN A BLINK OF AN EYE MR. AND MRS CHRISTOPHER OMARY WERE IN THE NEXT LEVEL.

"JESUS CHRIST IS THE FUNDAMENTAL SOLUTION TO OUR PROBLEMS."
     “JESUS IS THE ONLY FUNDAMENTAL SOLUTION OF ALL PROBLEMS.”

KUZIKA MBEGU ILI ZIFUFUKE ZIKIWA NA KITU KINGINE NDANI YAKE.

IJUMAA  :  18 /04/2014
SOMO  : KUZIKA MBEGU ILI ZIFUFUKE ZIKIWA NA KITU KINGINE NDANI YAKE.                                                
Na: Nabii. Frank Julius Kilawah.
 Roho wa Mungu amenipatia kibali kufundisha neno hili, Yeyote aliye  tayari kubadilika na kuwa mtu mpya na kuinua kiwango cha imani yake ili  kila atakalofanya atumie akili tofauti, maana sasa unakwenda kupanda mbegu ambayo utaivuna  Yesu akiwa pamoja nawe.
Ijumaa kuu  inaunganisha siku mbili muhimu zinazogongana  katika ulimwengu wa Roho,jiandae kuwa mshindi kwa maana unakwenda kuwa kiumbe kipya na kuvuna sawasawa na mapando uliyoya panda.
YOHANA 4:36 “Naye  avunaye hupokea  mshahara, na  kukusanya matunda kwa uzima wa milele , ili yeye apandae na yeye avunae  wapate kufurahi pamoja”.
Maandiko yanasema kwa maana hapo neno hilo huwa kweli,  Mmoja hupanda  akavuna mwingine, maana mimi naliwatuma myavune yale msiyo ya taabikia;wengine walitaabika nanyi mmeingia katika taabu.
Ukilisimamia neno hili hutaingia katika  taabu ya kuzika mbegu isiyofufuka na kitu kingine ndani yake,kwa maana kuvuna na kupanda vyote kwa pamoja vinamshuhudia Mungu wokovu.
Biblia takatifu inatuambia, Mungu aliupenda ulimwengu, haijasema aliwapenda  wanadamu, mazingira  yasikupe wasiwasi , kama ambavyo Daniel hakuwa na hofu hata alipokuwa kwenye tundu la Simba aliomba na Mungu alimjibu Papo hapo.
YOHANA 3:16-17 “kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee,ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.Maana Mungu hakumtuma mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu bali uokolewe katika yeye.
Maandiko yana yanazidi  kutuweka  wazi  juu ya kila mmoja kuutambua uwepo wake mbele ya madhabahu ya Mungu, Amwaminiye  yeye  nhahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwasababu hakuliamini  jina la mwana  pekee wa Mungu. 
Na leo nakwenda kukuweka karibu na uwepo wa Mungu, utakwenda kupata majibu mapya ya maombi yako, tunakwenda kulishusha giza  tupate majibu ya mchana na unakwenda kubadilika kama Daniel, omba bila kuchoka ndio hadhina ya uzima wa milele.
YOHANA 3:19 “Na hii ndio hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni,na watu wakapenda giza kuliko nuru;kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.Maana kila mtu atandaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru,matendo yake yasije  yakakemewa.

A PROPHECY



      THE IMMEDIATELY CONFIRMATION OF THE PROPHECY
On 17th /04/2014 during the Thursday service the man of God Prophet Frank prophesied for the couple who visited the Shiloh International Ministry for the first time.
‘’Brother, carrying the baby,’’
What’s your name?
He answered, Christopher Omary.
Prophet…the spirit of the Lord is taking me up to Dar-es –salaam
Christopher Omary, confirmed to be true, yes were are coming from Dar-es –salaam.
I ‘am seeing two things, I’ am seeing something like across but this is a road junction,
Prophecy continues:-God is telling me to help this young man because people have defamed him and also they have limited his plans in progress.
Prophet … I am seeing a church somewhere, have ever worked in the Church?
Mr. Christopher confirmed yes I have ever worked in the church.
I’ am seeing someone by the names of Mr. Mbuna and Mr. Mwaisaka
Mr. Christopher confirmed, Yes I know them.
Prophet, What I see, I am seeing two people, one of them is brown and they are Sambas by tribal, the brown one is from Gongo la mboto Dar-es –salaam and both of them are Ushers in the Church and also are the leaders of prayers in the Church but they intrigued against Mr. Christopher.
                There is a person who died 9 years back; he was a security by the name of Willy, The spirit of the Lord is taking me up to Kimara Dar-es –salaam near the Lutheran Church, where the diseased was living, the diseased experienced a mysterious life and did not own anything, they only took a coffin back to the village and is the same spirit driving you now.
                 Mr. Christopher confirmed the prophecy to be true due to the mysterious life that they are facing with the facial of sympathy and while the woman remained gazing at the man of God, Prophet Frank Julius Kilawah to now the deep things of their lives.
He further explains that:-
The one you prophesied that brown and short is my father in the Lord, we went together to Iringa to Open the Church and I’ am the one who was the founder of the Church and I was anointed to lead the Church while for him was the usher in the Church but due to intrigued made over me, he took over the church.
         The prophecy continued:- There is breakthrough ahead of you, there are nine people who will look for you and because they do not know where your, the spirit of the Lord will take you to them.
“Brother ,Worry out,’’ your breakthrough has started today!
       The man of God felt sympathy on the couple and called them forward, “As long as you are putting the over sized shirt let me give you my clothes.
Prophet Frank lashed into his dressing room and came out with a heap of clothes and handed them to Mr. Christopher and his wife.
In Matthew 25:40
                  Truly I say to you, as you did it into one of the least of these my brethren, you did it to me.

The giving did not stop there the whole congregation was touched with the mysterious circumstances that the couple was facing, truly when you give you receive, they came out with different types gifts including, Five Shirts, Five trousers, A T. shirt, Vest, Two pair of shoes, One Bed sheet, Four pairs of African wear for women (vitenge) and the Sum of 204000/= Tanzanian shillings.
In this miraculous turn of events of Mr. and Mrs. Christopher made them to cry and wondering God who brought them to Shiloh International Ministry and received unexpected breakthrough in their lives.
IN A BLINK OF AN EYE MR. AND MRS CHRISTOPHER OMARY WERE IN THE NEXT LEVEL.

"JESUS CHRIST IS THE FUNDAMENTAL SOLUTION TO OUR PROBLEMS.

   “JESUS IS THE ONLY FUNDAMENTAL SOLUTION OF ALL PROBLEMS.”













































Sunday, April 20, 2014

MATENDO MAKUU YA MUNGU



UTHIBITISHO WA UNABII WA MR CHRISTOPHE WATIMIA MARA MOJA.

Mnamo  tarehe 17/04/2014  katika ibada ya  Alhamisi mtumishi wa Mungu; Nabii Frank Julius Kilawah alitoa unabii juu ya wanandoa  waliokuja kuabudu katika kanisa la Shiloh International Ministry Tanga kwa mara ya kwanza na Mungu alijidhihirisha kwa wana ndoa hao.
‘’Kaka uliye kamata mtoto’’
Jina lako nani?
Christopher  Omary

Nabii.. Naona roho ya Mungu inanipeleka Dar es salaam, Unaishi wapi?
Umewahi kuishi Dar es salaam
Mr Christopher Omary: Ndio  Baba
Nabii;  Naona vitu viwili moja, naona kama msalaba na hapo ni maingilio ya barabara,  ya pili Mungu ananiambia Tanzania Region
Mr Christopher : Ndio Baba napafahamu.
Nabii: Kaka  Mungu amesema nikusaidie, Naona watu wamekutumikisha  kwa kiwango kikubwa ambacho usingebaki hivyo ulivyo sasa, na  fedha ulizo pata ni kidogo sana, Halafu naona kuna kanisa sehemu Fulani? Umewahi kufanya kazi  kanisani?
Mr Christopher: Ndio nilishafanya kazi kanisani.
Nabii: Kaka  kuna roho ya Mungu inaenda kukubadilisha,  Naona watu wawili  mmoja anaitwa mzee .Mbuna  na Mzee. Mwaisaka .
Mr . Christopher: Ndio wote na wafahamu.
Ninacho kiona sasa kuna watu wawili  kabila moja ni wasambaa, na mmoja ni mfupi, naona mashemasi wawili wamefanya vita kali na wewe mmoja mfupi mweupe, anakaa Gong’olamboto Dar es salaam, kilicho fanyika kwako hawa mashemasi wawili wamekufanyia fitina na tena mmoja ni kiongozi wa maombi .
Kuna mtu mmoja Alisha kufa miaka tisa 9 iliyo pita alikuwa anafanya kazi ya ulinzi. Anaitwa Wille. Roho iliyokuwa ndani yake ndio ipo kwako sasa, alikuwa anakaa Kimara Dar es salaam nyuma  ya kanisa la K.K.K.T.  mlikuwa mnafanya kazi pmj na kipindi alipofariki ulijitolea kununua jeneza lakini hilo jeneza halikutumika na Roho ile ile ndio inakutumikisha  na ndio iliyotumika kukufanya ufukuzwe kazi ndio mana hata mambo yako hayaendelei.
Mr Christopher. “Ni kweli na mfahamu kwasababu huyo uliye sema mfupi mweupe ambaye ni Baba yangu wa Kiroho  nilikwenda kutoa mahali Iringa alikuwa kama shemas, na mimi ndiye mwanzilishi wa Kanisa na ndio nilikuwa wa kwanza kuwekewa mikono, Lakini kwa sasa kanisa lipo mikononi mwake, Na ndipo vita ilipoanzia hapo”.
Nabii: Frank Julius Kilawah, Kuna Roho ambayo ipo nikikuombea saa hizi kuna watu karibia tisa watakutafuta,na wakikukosa Mungu atakupeleka huko huko walipo,  na unakwenda kuwa mtu tofauti kuanzia leo, Kaka usijali, leo ndio breakthrough imeanza kwako.
Mtu wa Mungu aliwaita waje mbele wanandoa hao.
Nabii Frank Julius Kilawah alielekea ofisini kwake na kurudi ameshikai Nguo na kuwapatia mzee Christopher na mkewe.
MATHAYO 25:40 “ Na Mfalme atajibu, akiwaambia, amini, na waambia, kadri mlivyo mtendea mmoja wapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi”.
Na utoaji haukuishia hapo waumini waliguswa na maisha magumu wanayo ishi wanandoa hao, waliweza kutoa misaada tofauti, kama T-shirt tano,  suruali tano, pea mbili za viatu, shuka moja, pea nne za vitenge, na fedha keshi laki mbili na elfu nne.
Wana Ndoa hawo wana mshangaa Mungu aliye waleta katka kanisa la Shiloh International Ministry  Tanga Tanzania.


 HAPA NABII FRANK JULIUS KILAWA AKIWA AMEWAITA NA KUWATOLEA UNABII


HAPA NABII FRANK JULIUS KILAWAH AKIWABARIKI
HAPA NABII FRANK JULIUS KILAWAH AKIWA KABIDHI FEDHA.
HAPA WAKIWA NA ZAWADI WALIZO KABIDHIWA


Saturday, April 19, 2014

NGUVU YA DAMU YA YESU



JUMATANO
16.04.2014

SOMO:NGUVU YA DAMU YA YESU
Na:Nabii  Frank Julius Kilawah.
Leo tunakwenda  kutengeneza roho ya kupata fedha na nguvu ya utajiri katika maisha ya kwako,kupitia damu ya Yesu kristo utakwenda kuona  milango minne ikifunguka kwa kila hitaji la moyo wako.
1WARAKA WA PETRO 1:2kama vile Mungu Baba alivyotangulia kuwajua katika kutakaswa na Roho,hata mkapata kutii na kunyunyiziwa damu ya Yesu kristo,na neema na amani na ziongezwe kwenu”
Tunaona jinsi maandiko yanavyo tuthibitishia juu ya damu ya Yesu, na kabla ya siku saba nilizokutangazia,umasikini wako unakwenda kuisha,wakati naendelea kukufundisha naona kuna  damu zina kwenda kutiririka na mikono yako kujaa maji na malaika  wakishuka.
Namshukuru Mungu anavyozidi kuongea na mimi juu ya kuondoa roho ya umasikini katika maisha yako na kukupatia roho ya fedha na utajiri kupiti damu ya Yesu, na uwe na uhakika leo naenda kupambana na wachawi wanaopambana na wewe kwa ajili kurudisha maendeleo yako nyuma na hakuna kitu kitakachobakia.
Kama ambavyo maandiko yanavyo tuambia katika kitabu cha WAEBRANI 12:24 “na Yesu mjumbe wa agano jipya ,na damu ya kunyunyizwa inenayo mema kuliko ile ya Habili.”
Tambua ya kuwa damu ya Yesu inatenda mema juu ya maisha yako ukiamini na kulitii neno lake unakuwa mshindi katika kila eneo,  mimi baba yako Nabii Frank Julius Kilawah nimelishika neno la Mungu ndio maana leo hii nakutamkia kwa ujasiri kuwa utakwenda kupokea muujiza mkubwa na kuwa kiumbe kipya.
UFUNUO WA YOHANA 1:5;6 “tena zitokazo kwa Yesu kristo ,shahidi aliye ,mwaminifu mzaliwa wa kwanza wa waliokufa,na mkuu  wa  wafalme wa dunia,yeye atupendae na kutuosha dhambi zetu katika damu yake.’’
Nina habari njema kwako juu ya ujio wa Yesu kristo ndani yako,anakwenda kuvunja kila nguvu za giza, na wakati huu hatakuja kama ulivyomzoea bali anakuja  kubadilisha hata yale uliyokuwa huyafahamu, damu yake inakuwa kinga yako kwa kuwa damu hii ina nguvu ya tofauti hasa katika kipindi hiki cha kufa na kufufuka kwake.
Utakwenda kuona mambo ya ajabu na makuu,Roho ya Mungu imekwisha kuingia ndani yako, kama ambavyo Baba yangu yu ndani yangu,ndivyo anavyokwenda kuwa ndani yako kuanzia sasa.
Amini nawaambieni damu ya Yesu ni jibu la maombi yako uiitapo kwa uaminifu, ikiingia ndani yako papo hapo unapokea Roho ya utawala ambayo inakwenda kumiliki mifupa yako na uzao wako unainuliwa.